Ijumaa, 15 Machi 2019

wimbo wa kuabudu | 319. Mungu Humpa Mwanadamu Anachohitaji Kupitia Kilio Chake

Baada ya Mungu kumumba mwanadamu,
roho Aliwapatia,
na kusema wasipomlilia,
watakuwa mbali na Roho Wake,
na "matangazo ya mbinguni"
hayatapokewa duniani.
Kupitia kelele za wanadamu,
Mungu anawapa wanachohitaji.
Mwanzoni ndani mwao Yeye "hakai,"
bali huwapa msaada sababu ya kilio chao.
Kutoka nguvu zao za ndani wanapata ugumu,
na Shetani hathubutu kuja hapa kucheza anavyotaka.
II
Mungu asipokuwa rohoni mwa mwanadamu,
kiti tupu kinaachwa wazi.
Shetani anachukua fursa kuingia.
Lakini wakiwasiliana na Mungu kwa mioyo yao,
Shetani anaanza kuhofu na kukimbia kutoroka.
Kupitia kelele za wanadamu,
Mungu anawapa wanachohitaji.
Mwanzoni ndani mwao Yeye "hakai,"
bali huwapa msaada sababu ya kilio chao.
Kutoka nguvu zao za ndani wanapata ugumu,
na Shetani hathubutu kuja hapa kucheza anavyotaka.
III
Mwanadamu akibaki kaungana na Roho wa Mungu,
Shetani hathubutu kuingilia.
Bila kuvuruga kwa Shetani,
watu wanaweza ishi maisha ya kawaida,
na Mungu aweza fanya kazi ndani yao
bila vizuizi vyovyote.
Kwa njia hii, anachotaka Mungu kufanya
chaweza chote patikana kupitia wanadamu.
Kupitia kelele za wanadamu,
Mungu anawapa wanachohitaji.
Mwanzoni ndani mwao Yeye "hakai,"
bali huwapa msaada sababu ya kilio chao.
Kutoka nguvu zao za ndani wanapata ugumu,
na Shetani hathubutu kuja hapa
kucheza anavyopenda, anavyopenda.
kutoka katika "Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Saba" katika Neno Laonekana katika Mwili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni