22. Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu
Ⅰ
Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye.
Ⅱ
Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye.
Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena, hawamwiti baba tena;
wanajua ubaya wa Shetani, na hivyo wanamkataa, hivyo wanamkataa.
Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
Wanajua kile kilicho kibaya, na kile ambacho ni kitakatifu, kitakatifu.
Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
Ⅲ
Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi tena,
haitamwabudu tena, haitamwabudu tena,
na haitamtolea kafara tena.
Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu,
watu ambao Mungu amewapata.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.
Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu,
watu ambao Mungu amewapata.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.
Ⅳ
Katika usimamizi wa Mungu wa wakati huu, mwanadamu ni lengo la upotovu wa Shetani,
yeye ni chombo cha wokovu wa Mungu na kile ambacho Mungu na Shetani wanapigania.
Wakati wa kazi ya Mungu,
Anampata tena mwanadamu hatua kwa hatua kutoka kwa makucha ya Shetani.
Kisha mwanadamu anakuwa karibu zaidi na Mungu...
Ⅴ
Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu,
watu ambao Mungu amewapata.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.
Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu,
watu ambao Mungu amewapata.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.
kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni