Ijumaa, 12 Januari 2018

Kwa Furaha Ukaribishe Ujio wa Mungu! | Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, yesu

Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka. Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu. Katika kutafuta kwao kugumu, baadhi ya watu wanauliza maswali hali wengine wanalikubali tu. baadhi ya watu wanaangalia bila kutoa maoni, wakati wengine wanafanya mapendekezo na kutafuta majibu katika Biblia–wanaangalia lakini mwishowe kuangalia huku hakuzai matunda .... Wakati tu wanapokata tamaa, shahidi mmoja anawaletea nakala ya Biblia ya Enzi ya Ufalme, na wanavutiwa kwa kina na maneno yaliyomo katika kitabu. Hiki ni kitabu cha aina gani kweli? Je, kwa kweli wamepata maneno mapya ambayo Mungu ameyanena katika kitabu hiki? Je, wamekaribisha kwa furaha kuonekana kwa Mungu?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
 Ni Mungu Anayezungumza!
Maneno Yake yenye ari ya onyo kwa wanadamu ni mapole na ya amani. Maneno Yake ambayo huhukumu na kufichua dutu potovu ya watu yana utukufu na ghadhabu. Maneno Yake yamejaa mamlaka, nguvu, na yamejaa hekima. Yote ni ukweli, na uzima! Tumetambua sauti Yake na maneno Yake, tumeona kuonekana Kwake!
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, yesu
Fungua Mlango na Kumkaribisha Bwana!
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa”(Ufunuo 3:6). "Tazama, nasimama mlangoni, na kubisha: mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja na yeye, na yeye pamoja na mimi"(Ufunuo 3:20). Bwana Yesu alisema bila shaka Angerudi na kuzungumza zaidi. Ni wale tu wanaoisikiliza kwa makini sauti ya Mungu wanaoweza kuona kuonekana Kwake. Je, umeisikia sauti ya Mungu na kukaribisha kurudi Kwake?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, KanisaMungu katika Mwili!
Je, si Yeye ni mtu wa kawaida tu katika mwili? Unawezaje kusema kwamba Yeye ni Mungu? Mungu anasema, “Ingawa huwezi kuyasikia maneno Anayozungumza yanayoonekana kutingisha mbingu na dunia wala kuona macho Yake kama moto mkali, na ingawa huwezi kuhisi nidhamu ya fimbo Yake ya chuma, unaweza kusikia kupitia maneno Yake ghadhabu ya Mungu na kujua kwamba Mungu Anaonyesha huruma kwa mwanadamu; unaweza kuona tabia ya haki ya Mungu na hekima Yake, na zaidi ya hayo, kutambua wasiwasi na utunzaji anao Mungu kwa wanadamu wote” (Neno Laonekana katika Mwili).

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa
Kusudi la Mungu katika Kurudi katika Mwili
Mungu anasema, “Kazi ya Mungu ya siku za mwisho ni kuruhusu mwanadamu kumwona Mungu aliye mbinguni Akiishi miongoni mwa wanadamu duniani, na kumwezesha mwanadamu kuja kumjua, kumtii, kumheshimu, na kumpenda Mungu. Hii ndiyo maana Amerudi kwa mwili kwa mara ya pili” (Neno Laonekana katika Mwili).



Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, InjiliJe, Neema Inaweza Kutegemewa kwa Wokovu?

    Bwana Yesu ametusamehe dhambi zetu. Kwetu sisi, sio tu kuwa hatutaanguka katika njaa na mabaa, aidha hatutaangamizwa katika kuzimu. Je, hiyo kwa kweli ni hivyo? The Bible records, “Kwa maana, kama tukifanya dhambi makusudi baada ya kuupokea ujuzi wa ukweli, haibaki tena dhabihu kwa ajili ya dhambi. Lakini kuitazamia fulani kwa hukumu na uchungu mkali, ambao utawala washindani” (Waebrania 10:26-27). Mungu anasema, “Atawaonyeshakuwa bila wokovu wa Mungu mwenye mwili katika siku za mwisho, basi Mungu Angekuwa Ashawaangamiza wanadamu wote kuzimu kitambo sana; bila kuwepo kwa mwili huu, basi daima mngekuwa viongozi wa wenye dhambi na maiti milele” (Neno Laonekana katika Mwili).
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni