Jumanne, 30 Aprili 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 20. Maneno ya Mungu Yameniamsha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ukweli,

 Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 20. Maneno ya Mungu Yameniamsha

Miao Xiao Mji wa Jinan, Mkoa wa Shandong
Katika siku zilizopita, nilikuwa daima nikifikiri kuwa Mungu aliposema “ni kibaraka na msaliti anayekikimbia kiti kikuu cheupe cha enzi” Alikuwa anaashiria wale wanaoikubali kazi ya Mungu katika siku za mwisho lakini ambao baadaye wanarudi nyuma. Kwa hivyo, wakati wowote nilipoona ndugu wakijiondoa katika njia hii kwa sababu yoyote ile, moyo wangu ungejawa na dharau kwao. Huyo, kibaraka na msaliti mwingine anatoroka kutoka kwa kiti kikuu cheupe cha enzi ambaye atapokea adhabu ya Mungu.

Jumatatu, 29 Aprili 2019

17. Kiini cha Kutumia Mamlaka Vibaya Kwa Ajili ya Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

17. Kiini cha Kutumia Mamlaka Vibaya Kwa Ajili ya Ulipizaji Kisasi wa Mtu Binafsi

Zhou Li Mji wa Xintai, Mkoa wa Shandong
Wakati fulani kitambo, tulihitaji kuzichora wilaya katika eneo letu, na kwa msingi wa kanuni zetu kwa ajili ya uteuzi wa viongozi, kulikuwa na ndugu mmoja wa kiume aliyekuwa mtaradhia mzuri kiasi. Nilitayarisha kumchagua kuwa kiongozi wa wilaya. Siku moja nilipokuwa nikizungumza na ndugu huyu, alitaja kwamba alihisi kuwa nilikuwa mwenye nguvu sana katika kazi yangu, mkali sana, na kwamba katika mkusanyiko pamoja nami hapakuwa na furaha nyingi …. Niliposikia jambo hili, nilihisi kuwa nilikuwa nimedunishwa. Nilihisi vibaya sana; mara moja nikakuza maoni fulani ya ndugu huyu, na sikukusudia tena kumchagua kuwa kiongozi wa wilaya.

Jumapili, 28 Aprili 2019

15. Si Rahisi Kwako kwa Hakika Kujijua Mwenyewe

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, hukumu,

15. Si Rahisi Kwako kwa Hakika Kujijua Mwenyewe

Zhang Rui Mji wa Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang
Niliona katika maneno ya Mungu kwamba Mungu anawapenda watu waaminifu na anawachukia watu wadanganyifu, na ni watu wanyofu tu watakaopata sifa Zake. Kwa hiyo, nilitaka kuwa mtu mnyofu, kwa utambuzi kufanya mazoezi ya kuzungumza kwa usahihi, kuwa bila upendeleo na wa busara, na kutafuta ukweli kutoka kwa mambo ya hakika wakati wa kutoa taarifa juu ya masuala. Katika kazi yangu, kama iwe ni kosa au upungufu, mimi nililielezea kwa undani kwa kiongozi.

Jumamosi, 27 Aprili 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 14. Ni Nini Husababisha Uongo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Ukweli,

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 14. Ni Nini Husababisha Uongo

Xiaojing Jijini Heze, Mkoani Shandong
Kila mara nilipoona neno la Mungu likituomba kuwa watu waaminifu na kuzungumza kwa usahihi, niliwaza, “Sina tatizo na kuzungumza kwa usahihi. Si ni kusema tu kitu jinsi kilivyo na kusema mambo jinsi yalivyo? Je, hiyo si rahisi? Kilichokuwa kimenikera zaidi daima katika dunia hii walikuwa watu waliotia chumvi walipozungumza.” Kwa sababu ya hili, nilihisi imani kuu, nikifikiri kwamba sikuwa na shida katika hali hii. Lakini kupitia tu kwa ufunuo wa Mungu ndio niligundua kwamba, bila kuingia katika ukweli au kubadili tabia ya mtu, mtu hawezi kwa vyovyote kuzungumza kwa usahihi.

Ijumaa, 26 Aprili 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 12. Vigezo vya Mtu Aliye Mwema Kwa Kweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ushuhuda,

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 12. Vigezo vya Mtu Aliye Mwema Kwa Kweli

Moran Mji wa Linyi, Mkoa wa Shandong

Tangu nilipokuwa mtoto, siku zote nilishikiza umuhimu mkubwa kwa jinsi watu wengine walivyoniona na ukadiriaji wao kwangu. Ili niweze kupata sifa kutoka kwa wengine kwa kila kitu nilichokifanya, sikubishana na yeyote asilani wakati wowote kitu chochote kilichoibuka, ili kuepuka kuharibu picha nzuri watu wengine walikuwa nayo kwangu. Baada ya kuikubali kazi ya Mungu katika siku za mwisho, niliendelea kwa njia hii, nikizingatia kwa kila njia iwezekanayo picha nzuri ambayo ndugu zangu wa kiume na wa kike walikuwa nayo kwangu.

Alhamisi, 25 Aprili 2019

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 9. Kuzing’uta Pingu za Roho

 Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | 9. Kuzing’uta Pingu za Roho

Wu Wen Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan
Nilikuwa mtu dhaifu na mwenye tabia nyepesi kuhisi. Wakati sikumwamini Mungu, mara kwa mara ningejihisi mwenye huzuni na masikitiko kutokana na mambo yaliyokuja katika maisha. Kulikuwa na nyakati nyingi kama hizi, na siku zote nilihisi kwamba maisha yangu yalikuwa magumu; hapakuwa na furaha, hamkuwa na ridhisho moyoni mwangu ya kuzungumzia. Uchungu huu ulikuwa tu kama pingu zilizonifunga kabisa kila mara, zikinifanya niwe mwenye huzuni. Ilikuwa tu baada kumwamini Mwenyezi Mungu ndipo nilipata kiini cha matatizo ndani ya maneno ya Mungu na nikapata uhuru polepole.