Ijumaa, 30 Novemba 2018

Wimbo Mpya wa Dini "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Have You Enjoyed the Joy of Gaining the Work of the Holy Spirit? (Official Video)

Wimbo Mpya wa Dini "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Have You Enjoyed the Joy of Gaining the Work of the Holy Spirit? (Official Video)

Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake,
mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufungukia Mungu.
Mara utakapomwelewa Mungu wako, utaelewa kilicho moyoni Mwake,
na kufurahia kilicho ndani Yake kwa imani na usikivu wako wote.
Unapofurahia kile kilicho ndani ya moyo wa Mungu, kidogo kidogo, siku baada ya siku,

Alhamisi, 29 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (6): Jinsi Wakristo Wanavyojibu "Chambo cha Familia" cha CCP

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (6): Jinsi Wakristo Wanavyojibu "Chambo cha Familia" cha CCP

    Wakati ambapo CCP hakipati mafanikio katika jitihada zake za kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu kupitia mateso yao ya ukatili na kutia kasumba, wao kisha huzitumia familia zao kama chambo kuwajaribu. Wakiwa wamekabiliwa na mbinu hizi duni, Wakristo husimamaje imara na haki, wakizikanusha?

Jumatano, 28 Novemba 2018

Sura ya 47. Wale Ambao Wamepoteza Kazi ya Roho Mtakatifu Ndio Walio katika Hatari Kubwa Zaidi

Sura ya 47. Wale Ambao Wamepoteza Kazi ya Roho Mtakatifu Ndio Walio katika Hatari Kubwa Zaidi

Katika kazi ya kueneza injili ya Mungu ya siku za mwisho, watu walio wachache tu ndio wanaweza kuacha kila kitu na kuziacha familia zao, kufikia kiwango ambacho wanahisi hawatarudi nyumbani kwa miaka kumi au kwa maisha yao yote, na hawahisi mateso yoyote kwa sababu ya kufanya hivyo; hii ndiyo nguvu inayopewa watu na Roho Mtakatifu. Lakini kiwango hiki hakiwezi kufikiwa kupitia kwa kimo cha mtu, kwa sababu watu hawaumiliki ukweli, uaminifu fulani tu wa kutumia kwa ajili ya Mungu. Kama watu wanao uamuzi fulani wa kuutafuta ukweli, na Roho Mtakatifu kisha awape neema fulani, basi watahisi hasa kuwa na shukrani na watakuwa na nguvu za aina fulani, na hivyo wataweza kujitokeza na kutumia kwa ajili ya Mungu—hii ndiyo neema ya Mungu. Lakini wapo baadhi ya watu wasioifuata njia sahihi wakati wanapoutekeleza wajibu wao, hawautafuti ukweli hata kidogo na hata wanakosa adabu, na katika hali kama hiyo Roho Mtakatifu hafanyi kazi ndani yao. Yaani, mtu huyo hayuko sahihi, na hata kama Roho Mtakatifu aliwahi kufanya kazi ndani yake, kazi hiyo itaharibiwa na wao watafuata bila kukusudia njia ya kwenda chini.

Jumanne, 27 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (5): Upingaji wa Ajabu wa Mkristo wa Mawazo ya Mchungaji wa Utatu

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (5): Upingaji wa Ajabu wa Mkristo wa Mawazo ya Mchungaji wa Utatu

    CCP kinamkaribisha mchungaji na Kanisa la Utatu kujaribu kumtia kasumba na kumbadilisha Mkristo mmoja.

Jumatatu, 26 Novemba 2018

221. Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake

221. Mamlaka ya Mungu ni Ishara ya Utambulisho Wake

I
Mungu ni uzima, chanzo cha viumbe wote wanaoishi.
Mamlaka ya Mungu hufanya kila kitu kitii maneno Yake,
kije kuwepo kulingana na maneno Yake,
kiishi na kuzaa kwa amri ya Mungu.

Jumapili, 25 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (4): Kuitii Serikali Inayotawala Sio Sawa na Kumtii Mungu

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (4): Kuitii Serikali Inayotawala Sio Sawa na Kumtii Mungu

    Ili kumdanganya na kumjaribu Mkristo mmoja kumtelekeza Mungu, CCP kilimwita mchungaji mmoja wa Kanisa la Utatu kumtia kasumba, na Mkristo huyu na mchungaji wakazua mjadala mzuri juu ya maneno ya Paulo: "Acha kila nafsi itii mamlaka ya juu zaidi.