Alhamisi, 30 Novemba 2017
Tamko la Ishirini na Sita | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Tamko la Ishirini na Sita | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu anasema,"
Ni nani ameshinda nyumbani Kwangu? Ni nani amesimama kwa ajili Yangu? Ni nani ameteseka kwa ajili Yangu? Ni nani ameweka ahadi yake mbele Zangu? Ni nani amenifuata hadi leo lakini hajakuwa wa kutojali? Mbona wanadamu wote wana ubaridi na hawana hisia? Mbona binadamu ameniacha?

Jumatano, 29 Novemba 2017
Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Manne ya Neno la Mungu Juu ya “Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi”
Uchaguzi Kutoka katika Mafungu Manne ya Neno la Mungu Juu ya “Ukweli wa Ndani wa Kazi ya Ushindi”
Mwenyezi Mungu anasema, "1. Wanadamu kwa kupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo.
Tamko La Ishirini na Tisa | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Tamko La Ishirini na Tisa | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Siku hiyo ambayo vitu vyote vilifufuliwa, Nilikuja miongoni mwa wanadamu, na Nimeshinda naye kwa siku zilizokuwa nzuri usiku na mchana. Ni katika hatua hii tu ndipo mwanadamu anaona wepesi Wangu wa kuzungumzishwa, na vile uhusiano wake na Mimi unavyozidi kuwa mwingi, anaona baadhi ya vile Nilivyo navyo na Nilivyo—na kwa sababu hii, anapata ufahamu kunihusu.
Jumanne, 28 Novemba 2017
Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli
Kumpenda Mungu Tu Ndiko Kumwamini Mungu Kweli
Mwenyezi Mungu alisema, Mnapotaka kumpenda na kumjua Mungu leo, kwa upande mmoja ni lazima mstahimili mateso, usafishaji, na kwa ule upande mwingine, ni lazima mgharamike. Hakuna funzo lililo kubwa kuliko lile la kumpenda Mungu, na inaweza kusemwa kuwa funzo ambalo watu hujifunza katika maisha yao yote ya imani ni jinsi ya kumpenda Mungu.
Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu
Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu katika mwili inajumuisha sehemu mbili. Mara ya kwanza Alipofanyika kuwa mwili, watu hawakumwamini au kumfahamu na kumsulubisha Yesu msalabani. Mara ya pili, pia, watu pia hawakuamini ndani Yake, wala kumfahamu, na kwa mara nyingine wakamsulubisha Kristo msalabani. Je, si mwanadamu ni adui wa Mungu?
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)