Alhamisi, 31 Agosti 2017

Mwenyezi Mungu | Waovu Lazima Waadhibiwe

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Mwenyezi Mungu | Waovu Lazima Waadhibiwe

Waovu Lazima Waadhibiwe | Mwenyezi Mungu

Kukagua kama unatenda uhaki katika kila jambo unalotenda, na iwapo matendo yako yanachunguzwa na Mungu, ni tabia za kanuni za wale wanaomwamini Mungu. Utaitwa mwenye haki kwa sababu una uwezo wa kukidhi matakwa ya Mungu, na kwa sababu umekubali utunzaji na ulinzi wa Mungu. Machoni pa Mungu, wote wanaokubali utunzaji, ulinzi na ukamilishaji Wake na wale waliopatwa Naye, ni wenye haki na hutazamwa kwa upendo sana Mungu. Zaidi ya unavyokubali neno la Mungu wakati huu, ndivyo unavyoweza kupokea na kuelewa mapenzi ya Mungu zaidi, na hivyo ndivyo unavyoweza kuishi kwa kudhihirisha neno la Mungu na kukidhi mahitaji Yake.

Jumatano, 30 Agosti 2017

Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu

Umeme wa Mashariki | Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu


Mwenyezi Mungu alisema: Kwa nini unamwamini Mungu? Watu wengi wanafadhaishwa na swali hili. Siku zote wana mitazamo tofauti kuhusu Mungu wa vitendo na Mungu wa mbinguni, jambo linaloonyesha kwamba wanamwamini Mungu sio ili wamtii, bali kupata manufaa fulani, au kuepuka mateso ya janga. Wakati huo tu ndipo wanakuwa watii kwa kiasi fulani, lakini utii wao ni wa masharti, ni kwa ajili ya matarajio yao wenyewe, na kushinikiziwa. Hivyo: kwa nini unamwamini Mungu? Ikiwa ni kwa ajili ya matarajio yako tu, na majaliwa yako, basi ni bora zaidi usingeamini.Imani kama hii ni kujidanganya, kujihakikishia, na kujishukuru.

Jumanne, 29 Agosti 2017

Umeme wa Mashariki | Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Injili
Sitisha Huduma ya Kidini | Umeme wa Mashariki

Njia ya Huduma ya Kidini lazima Ipigwe Marufuku | Umeme wa Mashariki

Mwenyezi Mungu alisema: Tangu mwanzo wa kazi Yake katika ulimwengu mzima, Mungu ameamulia kabla watu wengi kumhudumia Yeye, wakiwemo watu kutoka kila nyanja ya maisha. Kusudio Lake ni kutimiza mapenzi Yake Mwenyewe na kuhakikisha kwamba kazi Yake hapa ulimwenguni imetimia. 

Jumapili, 27 Agosti 2017

Umeme wa Mashariki | Mtu Fisadi Hawezi Kuwakilisha Mungu

       
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Mwenyezi Mungu
Umeme wa Mashariki | Mtu Fisadi Hawezi Kuwakilisha Mungu

Umeme wa Mashariki | Mtu Fisadi Hawezi Kuwakilisha Mungu

Mwenyezi Mungu alisema: Binadamu amekuwa akiishi katika funiko la ushawishi wa giza, huku akiwa amezingirwa na kufunikwa bila ya kuwachiliwa na ushawishi wa Shetani. Nayo hulka ya binadamu, baada ya kushughulikiwa na Shetani, inaendelea kuzoroteka kwa ufisadi. Vinginevyo, binadamu huishi akiwa katika hulka ile fisadi na ya kishetani, asiweze kumpenda Mungu kwa kweli.

Jumatatu, 31 Julai 2017

Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu


Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3) Kadhalika Alitabiri, “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa.” (Mathayo 24:27) Katika siku za mwisho, kama ilivyoahidiwa na kutabiriwa na Yeye, Mungu tena Amekuwa mwili na kushukia Mashariki ya dunia—China—kufanya kazi ya kuhukumu, kuadibu, ushindi, na wokovu Akitumia neno, kwa msingi wa kazi ya ukombozi ya Bwana Yesu.