Jumanne, 22 Januari 2019

Neno la Mwenyezi mungu | Unajua Nini Kuhusu Imani?

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Maneno ya Mungu

Neno la Mwenyezi mungu | Unajua Nini Kuhusu Imani?

Ndani ya binadamu, kunalo neno lisilokuwa la uhakika, ilhali binadamu hajui imani inajumuisha nini, na vilevile hajui ni kwa nini anayo imani. Binadamu huelewa kidogo sana, na binadamumwenyewe amepungukiwa sana; yeye anakuwa tu na imani ndani Yangu bila kujali na bila kujua.

Jumatatu, 21 Januari 2019

Maonyesho ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu (I)” Sehemu ya Kwanza



Maonyesho ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee IV Utakatifu wa Mungu (I)” Sehemu ya Kwanza

Mwenyezi Mungu anasema, " Hebu tuzungumze kuhusu “Nyoka Anamshawishi Mwanamke.” Nyoka ni nani? (Shetani.) Shetani anashikilia jukumu la foili[a] katika mpango wa usimamizi wa Mungu wa miaka elfu sita, na ni jukumu ambalo hatuwezi kosa kutaja wakati tunaposhiriki utakatifu wa Mungu.

Jumapili, 20 Januari 2019

nyimbo za kuabudu | 116. Kukimbia Kuelekea Njia ya Mwanga

I
Ona uovu wa ulimwengu, Shetani amewapotosha watu kwa ukatili sana.
Wakipapasa na kupambana ndani ya maumivu na giza, binadamu wanawezaje kupata njia ya mwanga?
Kwa bahati nzuri Mwenyezi Mungu ameonyesha ukweli, nimesikia sauti Yake na kumrudia Yeye.

Jumamosi, 19 Januari 2019

nyimbo za dini | 81. Njia Yote Pamoja na Wewe

Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini.
Ulinichagua,
na mahali pazuri Uliniongoza.
Sasa katika familia Yako,
nikipewa joto na upendo Wako,
nina amani kabisa.
Unanibariki,
Unatoa maneno Yako ya hukumu.

Ijumaa, 18 Januari 2019

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kuhusu Majina na Utambulisho" (Sehemu ya Kwanza)


Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | "Kuhusu Majina na Utambulisho" (Sehemu ya Kwanza)

Mwenyezi Mungu anasema, "Yesu aliwakilisha Roho wa Mungu, na Alikuwa Roho wa Mungu Akifanya kazi moja kwa moja. Alifanya kazi ya enzi mpya, kazi ambayo hakuna aliyekuwa amefanya mbeleni. Yeye Alifungua njia mpya, Alimwakilisha Yehova, na Alimwakilisha Mungu Mwenyewe.

Alhamisi, 17 Januari 2019

nyimbo za kuabudu | 59. Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,nyimbo za kusifu

nyimbo za kuabudu | 59. Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu

I
Kupitia katika neno la Mungu wa utendaji,
unyonge wa mwanadamu na uasi yanahukumiwa na kufichuliwa.
Kisha wanadamu wanapokea kile wanachohitaji.
Wanaona kuwa Mungu amekuja katika ulimwengu huu wa binadamu.