Alhamisi, 20 Desemba 2018

134. Kutoa Sadaka ya Thamani Sana kwa Mungu

134. Kutoa Sadaka ya Thamani Sana kwa Mungu

I
Baada ya miaka ya shida, kuadibiwa na kusafishwa,
mwanadamu hatimaye amedhoofika; utukufu, na mahaba, sasa yamepotea.
Sasa anaelewa ukweli wa kuwa mwanadamu na ibada ya Mungu.
Na hivyo anatoa sadaka ya thamani sana kwa Mungu wake,
ambaye anamtabasamia.

Jumatano, 19 Desemba 2018

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu Ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu Ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia

Mwenyezi Mungu anasema, " Je, ungependa kumwona Yesu? Je, ungependa kuishi na Yesu? Je, ungependa kusikia maneno yaliyonenwa na Yesu? Iwapo ni hivyo, basi utakaribishaje, kurudi kwa Yesu? Je, uko tayari kabisa? 

Jumanne, 18 Desemba 2018

Filamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days


Filamu za Injili | "Nimewahi Treni ya Mwisho" | Entering the Ark of the Last Days

    Chen Peng alikuwa mchungaji katika kanisa la nyumba fulani. Alikuwa akimtumikia Bwana kwa bidii, na mara nyingi alifanya kazi kama mhubiri, akiwasaidia wafuasi wake, na kulibebea kanisa mizigo mizito. Lakini katika miaka ya hivi karibuni, kanisa lilizidi kuwa tupu zaidi na zaidi. Waumini walikuwa na roho dhaifu na wavivu, wakikosa mkutano baada ya mkutano.

Jumatatu, 17 Desemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Tisini na Tisa

Mwenyezi Mungu anasema, "Kwa sababu mwendo wa kazi Yangu unaongeza kasi, hakuna anayeweza kuenda mwendo sawa na nyayo Zangu, na hakuna anayeweza kupenya akili Yangu, lakini hii ndiyo njia tu ambayo lazima isafiriwe.

Jumapili, 16 Desemba 2018

Jumamosi, 15 Desemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Tisini na Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Tisini na Sita

Nitamwadibu kila mtu aliyezaliwa kutoka Kwangu ambaye bado hanijui ili kuonyesha ghadhabu Yangu yote, kuonyesha nguvu Zangu kuu, na kuonyesha hekima Yangu kamili.