Jumatano, 10 Oktoba 2018

Wimbo za Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs


Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs

Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
Si kupita kiasi kusema hivyo,
kwani Ana kiini cha Mungu, Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
ambayo haifikiwi na mwanadamu.

211. Mungu Katika Mwili Hufanya Kazi Kimya ili Kuwaokoa Wanadamu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

211. Mungu Katika Mwili Hufanya Kazi Kimya ili Kuwaokoa Wanadamu

I
Mungu alipata mwili, akabaki kujificha miongoni mwa wanadamu
ili kufanya kazi mpya, kutuokoa kutoka katika upotovu.
Anahifadhi maelezo.
Kwa mipango Aliyoifanya, Yeye hufanya kazi Yake hatua kwa hatua.

Jumanne, 9 Oktoba 2018

Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu


Wimbo wa Injili | "Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu" | Wema wa Mungu


Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.

I
Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la,
Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya.
Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la,
kazi Yake huleta usaidizi na utoaji unaoweza kuhisiwa na wote.
Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.

Jumatatu, 8 Oktoba 2018

212. Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Injili

212. Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

I
Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,
kama wafuasi wa Kristo wa dhati,
ni wajibu wetu, jukumu letu
kutoa akili zetu na miili yetu
kwa kutimiza agizo la Mungu.

Best Christian Music "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" (Swahili Musical Documentary) | Power of God

 Best Christian Music "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" (Swahili Musical Documentary) | Power of God

  Kote katika ulimwengu mkubwa mno, sayari zote ya mbingu husogea kwa usahihi katika mizunguko yazo zenyewe. Chini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha…. Hili lote limepangwa vizuri sana—je, kuna Mwenye Uwezo Mmoja anayepanga na kutawala yote haya? Tangu tuje katika ulimwengu huu tukilia tumeanza kutekeleza majukumu tofauti katika maisha. Sisi husogea kutoka kuzaliwa mpaka uzee mpaka kuugua hadi kifo, sisi husogea kati ya furaha na huzuni….

Jumapili, 7 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Mia Moja na Nane

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Mia Moja na Nane

Ndani Yangu, wote wanaweza kupata raha na wote wanaweza kuwa huru. Wale walio nje Yangu hawawezi kupata uhuru na furaha kwa sababu Roho Wangu hayuko pamoja na watu hawa. Watu hawa wanaitwa wafu wasio na roho. Nami Nawaita wale walio ndani Yangu watu walio hai wenye roho.