Jumatano, 6 Juni 2018

Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa


Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa

Tangu umri mdogo, wazazi wa Cheng Jianguang na walimu walimfundisha sheria kama vile "Uwiano ni hazina, uvumilivu ni wema," "Kunyamazia makosa ya rafiki wazuri hudumisha urafiki mzuri na wa muda mrefu," "Ingawa utaona makosa, ni vyema useme machache" zilikuwa ni nguzo za kudumisha uhusiano mzuri na watu wengine. Alichukua mafunzo haya kwa moyo, na kujifinza kamwe kutowakosea wengine katika matendo na mazungumzo yake, na daima kutunza uhusiano wake na wengine, hivi kumpatia sifa ya "mtu mzuri" kwa wale wliokuwa karibu naye. Baada ya kukubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika zile siku za mwisho, Cheng Jiangunag anajifunza kutoka kwa neno la Mungu kwamba ni kwa kutafuta ukweli na kuwa mtu mwaminifu pekee ndiyo anaweza kupata idhini ya Mungu na kupewa wokovu na Mungu, kwa hivyo anaapa kiapo kuwa mtu mwaminifu. Lakini, katika majukumu yake, yeye anazuiwa na tabia yake potovu, na anashindwa kujizuia kutenda kulingana na falsafa za kishetani za maisha: Wakati anapotambua kiongozi wa kanisa ambaye hatendi kulingana na ukweli katika kazi zake, ambayo inaathiri kazi ya kanisa, Cheng Jianguang anaamua kulinda uhusiano wake na kiongozi yule,

Jumanne, 5 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Mawazo Juu ya Maafa

Watu wengi hufikiri kuwa jaala yao iko mikononi mwao wenyewe. Lakini wakati maafa yanapokuja, yote tunayohisi ni hali ya kutojiweza, woga, na kitisho, na tunahisi kutokuwa na thamani kwa wanadamu na udhaifu wa maisha…. Ni nani wokovu wetu wa pekee? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua jibu!

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu


Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.

Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.

Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.

Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.

Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.

Jumatatu, 4 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuchunguza Mafumbo ya Maisha

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuchunguza Mafumbo ya Maisha

Mtu Atarudi Kule Alikotoka.
      Hakuna yeyote anayeweza kushinda ugonjwa na kifo.
      Hakuna yeyote anayeweza kubadilisha sheria za uzee na udhaifu wa mwili au akili.
………………………………
"Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii?"

13. Kama Tu Binadamu Watamwabudu Mungu wa Kweli Ndiyo Wataweza Kuwa na Jaala Nzuri

Mungu aliumba dunia hii. Aliumba binadamu.
Alikuwa mjenzi wa utamaduni wa zamani wa Ugiriki na ustaarabu wa binadamu.
Mungu tu ndiye Anayefariji, Anayefariji binadamu huyu.
Mungu pekee ndiye Anayejali kuhusu binadamu huyu mchana na usiku.
Kukua kwa binadamu na kuendelea 
hakutenganishwi na mamlaka ya Mungu, mamlaka kuu ya Mungu.
Historia na siku za baadaye za binadamu
zinahusiana sana na mpango wa Mungu, mpango wa Mungu.

Jumapili, 3 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuuchunguza Ulimwengu

Katika anga kubwa mno ya ulimwengu iliyojaa nyota, sayari zinagongana, na mfululizo wa michakato migumu huzaa sayari mpya.… Sayari zisizo na idadi za mbingu ulimwenguni zote hufanya kazi kwa ulinganifu—ni nani huzielekeza? Filamu ya Kikristo ya muziki—Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu—hivi karibuni itafichua ukweli wa kweli!