Tangu umri mdogo, wazazi wa Cheng Jianguang na walimu walimfundisha sheria kama vile "Uwiano ni hazina, uvumilivu ni wema," "Kunyamazia makosa ya rafiki wazuri hudumisha urafiki mzuri na wa muda mrefu," "Ingawa utaona makosa, ni vyema useme machache" zilikuwa ni nguzo za kudumisha uhusiano mzuri na watu wengine. Alichukua mafunzo haya kwa moyo, na kujifinza kamwe kutowakosea wengine katika matendo na mazungumzo yake, na daima kutunza uhusiano wake na wengine, hivi kumpatia sifa ya "mtu mzuri" kwa wale wliokuwa karibu naye. Baada ya kukubali kazi ya
Mwenyezi Mungu katika zile siku za mwisho, Cheng Jiangunag anajifunza kutoka kwa neno la Mungu kwamba ni kwa kutafuta ukweli na kuwa mtu mwaminifu pekee ndiyo anaweza kupata idhini ya Mungu na kupewa wokovu na Mungu, kwa hivyo anaapa kiapo kuwa mtu mwaminifu. Lakini, katika majukumu yake, yeye anazuiwa na tabia yake potovu, na anashindwa kujizuia kutenda kulingana na falsafa za kishetani za maisha: Wakati anapotambua kiongozi wa
kanisa ambaye hatendi kulingana na ukweli katika kazi zake, ambayo inaathiri kazi ya kanisa, Cheng Jianguang anaamua kulinda uhusiano wake na kiongozi yule,