Jumatatu, 28 Mei 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (2) - Namna ya Kumfahamu Mungu Mwenye Mwili

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (2) - Namna ya Kumfahamu Mungu Mwenye Mwili

Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili kufanya kazi ili kumwokoa mwanadamu. Lakini kwa sababu hatufahamu ukweli wa kupata mwili, tunamchukulia Mungu mwenye mwili kuwa sawa na mwanadamu wa kawaida, hatuwezi kuitambua sauti ya Mungu na tunajua hata kidogo zaidi jinsi ya kumkaribisha Bwana—kufikia kiwango ambacho hata tunaweza kufuata ulimwengu wa dini na nguvu zinazotawala kumkana na kumshutumu Mungu—hali haiwi tofauti na wakati ambapo Mungu alipata mwili kama Bwana Yesu kufanya kazi Yake ya Enzi ya Neema. Kwa hivyo, inaonekana kwamba, kuufahamu ukweli wa kupata mwili ni muhimu sana katika sisi kumjua Mungu. Kwa hiyo kupata mwili ni nini hasa? Ni nini kiini cha kupata mwili?

71. Ambua Barakoa, na Uanze Maisha Upya

Chen Dan    Mkoa wa Hunan
Mwishoni mwa mwaka jana, kwa sababu sikuweza kuzindua kazi ya injili katika eneo langu, familia ya Mungu ilimhamisha ndugu mmoja wa kiume kutoka eneo jingine ili kuchukua kazi yangu. Kabla ya haya sikuwa nimearifiwa, bali nilisikia kwa njia isiyo ya moja kwa moja kutoka kwa dada mmoja niliyekuwa mbia naye. Nilifadhaika sana. Nilishuku kwamba mtu aliyekuwa madarakani hakuwa ameniarifu kwa kuhofia kwamba singekubali kuiacha nafasi yangu na ningeshindana. Kwa sababu hiyo, nilikuwa na dhana mbaya ya dada aliyekuwa madarakani. Baadaye, dada huyo alikutana nami na kuniuliza juu ya jinsi nilivyohisi kuhusu kubadilishwa kwangu—mwanzoni nilitaka kuzungumza mawazo yangu, lakini nilihofia kwamba angepata picha mbaya kunihusu na kufikiri nilikuwa nikitafuta kazi kwake. Hivyo badala yake, kwa sauti legevu ilivyowezekana nilisema, "Sio shida, sikuweza kufanya kazi jenzi hivyo ni jambo la maana ningeweza kubadilishwa. Sina mawazo yoyote hasa juu ya jambo hilo, wajibu wowote familia ya Mungu itakaonipa kutimiza nitatii." Kwa njia hii nilificha nafsi yangu ya kweli huku nikionyesha masimulizi ya uongo juu yangu kwa huyo dada. Baadaye, nilitumwa na familia ya Mungu kuwa mfanyakazi. Katika mkutano wetu wa kwanza wa wafanyakazi wenza, kiongozi wetu mpya aliyehamishwa aliweka wazi hali yake.

Jumapili, 27 Mei 2018

Umeme wa Mashariki | "Siri ya Utauwa: Mfuatano" (1) - Ni Jinsi Gani Bwana Ataonekana kwa Mwanadamu Atakaporudi Tena

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (1) - Ni Jinsi Gani Bwana Ataonekana kwa Mwanadamu Atakaporudi Tena

Katika karne zote tangu Bwana Yesu alipofufuka na Akapaa mbinguni, sisi waumini tumetamani sana kwa hamu kurudi kwa Yesu Mwokozi. Watu wengi wanaamini kwamba utakuwa mwili wa kiroho wa Yesu aliyefufuka ambao utaonekana kwetu wakati Bwana atarudi. Lakini kwa nini Mungu ameonekana kwa mwanadamu akiwa mwili kama Mwana wa Adamu katika siku za mwisho? Mwenyezi Mungu asema, "Mungu Asipokuwa mwili, Atabaki kama Roho bila kuonekana au kuguswa na mwanadamu. Mwanadamu ni kiumbe wa mwili, na mwanadamu na Mungu ni wa dunia mbili tofauti na ni tofauti kwa asili. Roho wa Mungu hana uuwiano na mwili wa mwanadamu, na hakuna uhusiano unaoweza kuwepo kati yao...." "Ni kwa kupata mwili pekee ndiyo Ataweza kuwasilisha maneno Yake Mwenyewe kwa masikio ya wale wote ambao wana masikio waweze kuyasikia maneno Yake na kupokea kazi Yake ya hukumu kupitia kwa neno. Hayo tu ndio matokeo yanayopokewa na neno Lake..." (Neno Laonekana Katika Mwili).

Kanisa la Mwenyezi Mungu | 72. Nilijifunza Kufanya Kazi na Wengine

Liu Heng    Mkoa wa Jiangxi
Kupitia neema na kuinuliwa kwa Mungu, nilichukua jukumu la kuwa kiongozi wa kanisa. Wakati huo, nilikuwa na shauku mno na niliweka azimio mbele ya Mungu: Bila kujali kinachonikabili, sitayatelekeza majukumu yangu. Nitafanya kazi vizuri na yule dada mwingine na nitakuwa mtu anayetafuta ukweli. Lakini nilikuwa nimeamua tu, na sikujua jinsi ya kuingia katika uhalisi wa uhusiano wa kufanya kazi kwa mpangilio wa kuridhisha. Nilipoanza mwanzo kushirikiana na dada ambaye nilikuwa nikifanya kazi naye, na tulipokuwa na maoni tofauti au migogoro, ningemwomba Mungu kwa uwazi nikimuuliza Yeye kuulinda moyo wangu na roho yangu ili nisimlaumu mshirika wangu. Hata hivyo, niilizingatia tu kudhibiti vitendo vyangu ili nisiwe na migogoro na mshirika wangu, kwa hivyo sikuwa nimeingia katika ukweli. Kwa hiyo, baada ya muda, nilikuwa na kutoafikiana zaidi na zaidi na dada huyu. Wakati mmoja nilitaka kumpandisha cheo dada mmoja kwa kazi ya kunyunyizia na dada niliyekuwa nikifanya kazi naye alisema kuwa dada huyo hakuwa wa kufaa.

Jumamosi, 26 Mei 2018

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (5) - Kukubali Mwenyezi Mungu Pekee Ndiko Kuambatana na Nyayo za Mwanakondoo

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (5) - Kukubali Mwenyezi Mungu Pekee Ndiko Kuambatana na Nyayo za Mwanakondoo

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dinimara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa Bwana Yesu alisulubishwa msalabani kwa ajili ya dhambi za kila mmoja na kuwa mwanadamu amekombolewa kutoka kwa dhambi. Wanahubiri kuwa, mtu anapomwacha Bwana Yesu na kuamini Mwenyezi Mungu, ni sawa na kumsaliti Bwana Yesu na kuasi imani. Je, hakika ukweli uko hivi? Bwana Yesu alipokuja kufanya kazi Yake wakati huo, je, wale walioiacha hekalu na kumfuata Bwana Yesu hawakushutumiwa pia na Mafarisayo Wayahudi kwa njia hii kuwa wanasaliti Yehova Mungu? Hivyo, je, kukubali kazi mpya ya Mungu ni kuasi imani na kumsaliti Mungu? Au ni kuambatana na nyayo za Mwanakondoo na kupata wokovu wa Mungu? Tutaangazia masuala haya pamoja katika video hii fupi.

Ijumaa, 25 Mei 2018

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (4) - Ni Kwa Nini Bwana Aliyerejelea Amechukua Jina la "Mwenyezi Mungu"?

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (4) - Ni Kwa Nini Bwana Aliyerejelea Amechukua Jina la "Mwenyezi Mungu"?

Biblia inatabiri, "Nitaliandika jina la Mungu wangu juu yake, na jina la mji wa Mungu wangu, ambao ni Yerusalemu mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wangu: na nitaliandika juu yake jina langu jipya" (Ufunuo 3:12). "you shall be called by a new name, which the mouth of the LORD shall name" (Isaiah 62:2). Katika siku za mwisho, Mungu anaonekana kwa mwanadamu kwa jina la "Mwenyezi Mungu," anafanya kazi Yake ya hukumu akianzia nafamilia ya Mungu na kufichua tabia Yake ya haki, ya uadhama na ghadhabu. Umuhimu wa jina la "Mwenyezi Mungu" ni mkubwa sana; je, unajua umuhimu wa jina hili ni upi? Video hii itakupa jibu.