Jumatatu, 29 Januari 2018

Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen”(4): Upotovu

Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen”(4): Upotovu

Akiwa amekumbwa na ulimwengu mbaya na ukweli mkali, katika huzuni, Xiaozhen aliacha uaminifu wake na kung’ang’ana kuvaa kinyago. Kutoka wakati huo na kuendelea, alipotea …

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen”(3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu

 Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen”(3): Wakiacha Wema na Kufuata Uovu

Katika ulimwengu huu wa mioyo mibaya ambapo pesa ni mfalme, ni machaguo yapi ambayo Xiaozhen aliye safi na mzuri aliyafanya, ya maisha na ya kuendelea kuishi …

Jumapili, 28 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen”(2): Kupigania Dhahabu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen”(2): Kupigania Dhahabu

Xiaozhen alipopata kipande kikubwa cha dhahabu, aliwaita marafiki wake ili wagawane. Kile ambacho hakutambua ni kwamba mara tu watu wanapoona dhahabu, asili nzuri na mbaya ya mwanadamu hujiweka wazi …

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen”(1): Jiwe, Karatasi, Makasi

Christian Music Video Swahili “Hadithi ya Xiaozhen”(1): Jiwe, Karatasi, Makasi

Kikundi cha watoto wachangamfu, wanaopendeza kilikuwa kikicheza mchezo wakati, bila kufikiri, waliuliza swali lenye cha kali: "Wanadamu hutoka wapi?" Je, unalijua jibu la swali hili?

Jumamosi, 27 Januari 2018

Sura ya 38. Yeye Ambaye Hukosa Ukweli Hawezi Kuwaongoza Wengine

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa

Sura ya 38. Yeye Ambaye Hukosa Ukweli Hawezi Kuwaongoza Wengine

Mwenyezi Mungu alisema, Je, kweli mnaelewa kuhusu mabadiliko katika tabia ya mtu? Mabadiliko katika tabia yanamaanisha nini? Je, mnaweza kutambua mabadiliko katika tabia? Ni hali zipi zinaweza kufikiriwa kuwa mabadiliko katika tabia ya maisha ya mtu, na ni hali zipi ambazo ni mabadiliko tu katika tabia ya nje? Tofauti ni ipi kati ya mabadiliko katika tabia ya mtu ya nje na mabadiliko katika maisha ya mtu ya ndani? Je, mnaweza kueleza tofauti?

Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia

Mwenyezi Mungu alisema, Watu wote wanahitaji kuelewa kusudio la kazi Yangu ulimwenguni, yaani, lengo la mwisho la kazi Yangu na ni kiwango kipi ambacho lazima Nitimize katika kazi hii kabla inaweza kukamilika. Kama watu, wanaotembea na Mimi hadi leo, hawaelewi kazi Yangu inahusu nini, basi hawajakuwa wakitembea na Mimi bure? Watu wanaonifuata Mimi wanafaa kujua mapenzi Yangu.