Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kueneza-Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kueneza-Injili. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 27 Januari 2018

Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Kazi ya Kueneza Injili Ni Kazi ya Kuokoa Binadamu Pia

Mwenyezi Mungu alisema, Watu wote wanahitaji kuelewa kusudio la kazi Yangu ulimwenguni, yaani, lengo la mwisho la kazi Yangu na ni kiwango kipi ambacho lazima Nitimize katika kazi hii kabla inaweza kukamilika. Kama watu, wanaotembea na Mimi hadi leo, hawaelewi kazi Yangu inahusu nini, basi hawajakuwa wakitembea na Mimi bure? Watu wanaonifuata Mimi wanafaa kujua mapenzi Yangu.