Jumatano, 15 Novemba 2017

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani"

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani"

Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani
Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha.
Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake.
Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu.

Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | "Wimbo wa Kifuasi cha Dhati" Video Rasmi ya Muziki

Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | "Wimbo wa Kifuasi cha Dhati" Video Rasmi ya Muziki

Wimbo wa Kifuasi cha Dhati
Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.

Hakuna Aliye wa Mwili Anayeweza Kuepuka Siku Ya Ghadhabu | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Hakuna Aliye wa Mwili Anayeweza Kuepuka Siku Ya Ghadhabu

Hakuna Aliye wa Mwili Anayeweza Kuepuka Siku Ya Ghadhabu | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu alisema,Leo, Nawaonya hivi kwa ajili ya kusalimika kwenu wenyewe, ili kazi Yangu iendelee vizuri, na ili kazi Yangu ya uzinduzi kote ulimwenguni iweze kufanyika kwa

Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo

Unapaswa Kutafuta Njia ya Uwiano na Kristo | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu alisema,Nimefanya kazi kubwa miongoni mwa binadamu, na maneno ambayo Nimeeleza wakati huu yamekuwa mengi. Maneno haya ni kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu, na yalikuwa yanaeleza ili binadamu aweze kulingana na Mimi.

Jumanne, 14 Novemba 2017

Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa ,Mwenyezi Mungu
Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu alisema,Watu wengi wanamwamini Mungu kwa ajili ya hatima yao ya baadaye au kwa ajili ya starehe ya muda mfupi. Kwa wale ambao hawajapitia ushughulikiaji wowote, imani kwa Mungu ni kwa ajili ya kuingia mbinguni, ili kupata tuzo.

Sifa Kamili | Dansi ya Kilatini ''Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu"

Sifa Kamili | Dansi ya Kilatini ''Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu"
Tukuzeni Ufanikishaji wa Kazi ya Mungu
Kazi kubwa ya Mungu hubadilika haraka sana, vigumu kuipima, kuridhisha kwa mtu.
Angalia kandokando yako, si kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya.