Jumapili, 5 Novemba 2017

Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Yasifu Maisha Mapya
Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe!
Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu!

Kuhusu Biblia (3) | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kuhusu Biblia (3)|Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kuhusu Biblia (3)

 
     
Mwenyezi Mungu alisema,Sio kila kitu katika Biblia ni rekodi ya maneno aliyoyasema Mungu. Kimsingi Biblia inaandika hatua mbili za awali za kazi ya Mungu, ambapo sehemu moja ni rekodi ya utabiri wa kale wa manabii, na sehemu nyingine ni uzoefu na maarifa yaliyoandikwa na watu waliotumiwa na Mungu katika enzi zote.

Jumamosi, 4 Novemba 2017

Kutanafusi kwa Mwenye Uweza | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Kutanafusi kwa Mwenyezi Mungu|Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kutanafusi kwa Mwenye Uweza | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu anasema, " Kunayo siri kubwa moyoni mwako. Huifahamu kamwe kwa sababu umekuwa ukiishi katika ulimwengu usio na mwanga unaoangaza. Moyo wako na roho yako vimechukuliwa mateka na yule mwovu. Macho yako yamefunikwa na giza; huwezi kuliona jua angani, wala nyota ikimetameta wakati wa usiku.

Kuhusu Biblia (2) | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kuhusu Biblia (2)|Umeme wa Mashariki

Kuhusu Biblia (2)

   
Mwenyezi Mungu alisema, Biblia pia huitwa Agano la Kale na Agano Jipya. Je, wajua “agano” linarejelea nini? “Agano” katika “Agano Jipya” linatokana na makubaliano ya Yehova na watu wa Israeli Alipowaua Wamisri na kuwaokoa Waisraeli kutoka kwa Farao. Bila Shaka, uthibitisho wa haya makubaliano ulikuwa damu ya mwanakondoo iliyopakwa kwenye linta kupitia kwayo Mungu Alianzisha agano na mwanadamu,

Ijumaa, 3 Novemba 2017

Kuhusu Biblia (1) | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kuhusu Biblia (1)|Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kuhusu Biblia (1)

     
Mwenyezi Mungu alisema:Biblia inapaswa kuangaliwaje kuhusiana na imani kwa Mungu? Hili ni swali muhimu sana. Kwa nini tunawasiliana swali hili? Kwa sababu wakati ujao utaeneza injili na kupanua kazi ya Enzi ya Ufalme, na haitoshi tu kuweza kuzungumza juu ya kazi ya Mungu leo.

Mungu Amekuja Mungu Ametawala | " Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 18" | Kanisa la Mwenyezi Mungu


Mungu Amekuja Mungu Ametawala | " Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 18" Kanisa la Mwenyezi Mungu
Kwaya za Injili :
1. Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
2. Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi
1. Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo,