Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwenye-Uweza. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwenye-Uweza. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 4 Novemba 2017

Kutanafusi kwa Mwenye Uweza | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Kutanafusi kwa Mwenyezi Mungu|Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kutanafusi kwa Mwenye Uweza | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu anasema, " Kunayo siri kubwa moyoni mwako. Huifahamu kamwe kwa sababu umekuwa ukiishi katika ulimwengu usio na mwanga unaoangaza. Moyo wako na roho yako vimechukuliwa mateka na yule mwovu. Macho yako yamefunikwa na giza; huwezi kuliona jua angani, wala nyota ikimetameta wakati wa usiku.