Jumamosi, 4 Novemba 2017

Kutanafusi kwa Mwenye Uweza | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Kutanafusi kwa Mwenyezi Mungu|Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kutanafusi kwa Mwenye Uweza | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu anasema, " Kunayo siri kubwa moyoni mwako. Huifahamu kamwe kwa sababu umekuwa ukiishi katika ulimwengu usio na mwanga unaoangaza. Moyo wako na roho yako vimechukuliwa mateka na yule mwovu. Macho yako yamefunikwa na giza; huwezi kuliona jua angani, wala nyota ikimetameta wakati wa usiku.

Kuhusu Biblia (2) | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kuhusu Biblia (2)|Umeme wa Mashariki

Kuhusu Biblia (2)

   
Mwenyezi Mungu alisema, Biblia pia huitwa Agano la Kale na Agano Jipya. Je, wajua “agano” linarejelea nini? “Agano” katika “Agano Jipya” linatokana na makubaliano ya Yehova na watu wa Israeli Alipowaua Wamisri na kuwaokoa Waisraeli kutoka kwa Farao. Bila Shaka, uthibitisho wa haya makubaliano ulikuwa damu ya mwanakondoo iliyopakwa kwenye linta kupitia kwayo Mungu Alianzisha agano na mwanadamu,

Ijumaa, 3 Novemba 2017

Kuhusu Biblia (1) | Umeme wa Mashariki

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kuhusu Biblia (1)|Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kuhusu Biblia (1)

     
Mwenyezi Mungu alisema:Biblia inapaswa kuangaliwaje kuhusiana na imani kwa Mungu? Hili ni swali muhimu sana. Kwa nini tunawasiliana swali hili? Kwa sababu wakati ujao utaeneza injili na kupanua kazi ya Enzi ya Ufalme, na haitoshi tu kuweza kuzungumza juu ya kazi ya Mungu leo.

Mungu Amekuja Mungu Ametawala | " Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 18" | Kanisa la Mwenyezi Mungu


Mungu Amekuja Mungu Ametawala | " Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 18" Kanisa la Mwenyezi Mungu
Kwaya za Injili :
1. Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
2. Mwenyezi Mungu Amekuwa Ameketi Kwenye Kiti Kitukufu cha Enzi
1. Mungu ndiye Mwanzo na tena Mwisho
Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo, Mungu ndiye Mwanzo,

Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Umeme wa Mashariki,Kanisa la Mwenyezi Mungu
Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu|Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu

Mwenyezi Mungu alisema:Kazi ya kumsimamia mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu, na ina maana kuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu. Hatua hizi tatu hazihusishi kazi ya kuuumba ulimwengu, ila ni hatua tatu za kazi ya Enzi ya Sheria, Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme. Kazi ya kuiumba dunia ilikuwa kazi ya kusababisha uwepo wa wanadamu wote.

Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu
I
Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu,uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao, mshangao na uvutiwaji.