Ijumaa, 3 Novemba 2017

Kazi Katika Enzi ya Sheria | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kazi Katika Enzi ya Sheria|Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kazi Katika Enzi ya Sheria | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu anasema, Kazi ambayo Yehova alifanya kwa Waisraeli ilianzisha mahali pa Mungu pa asili miongoni mwa binadamu, ambapo pia palikuwa pahali patakatifu ambapo Alikuwapo. Aliwekea kazi Yake mipaka kwa watu wa Israeli. Mwanzoni, Hakufanya kazi nje ya Israeli; badala yake, Aliwachagua watu Aliowaona kuwa wa kufaa ili kuzuia eneo la kazi Yake.

Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukombozi

Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi

Mwenyezi Mungu alisema, Mpango Wangu mzima wa usimamizi, ambao una urefu wa miaka elfu sita, unashirikisha awamu tatu, au enzi tatu: Kwanza, Enzi ya Sheria; pili, Enzi ya Neema (ambayo pia ni enzi ya Ukombozi); na mwisho, Enzi ya Ufalme.

Alhamisi, 2 Novemba 2017

Pitieni Upendo wa Kweli wa Mungu | Sifa na Ibada "Wimbo wa Mapenzi Matamu"


Pitieni Upendo wa Kweli wa Mungu | Sifa na Ibada "Wimbo wa Mapenzi Matamu"

Wimbo wa Mapenzi Matamu
Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako.
Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote.
Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi.

Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu| Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu

Mwenyezi Mungu alisema: Kila mtu anahisi kuwa usimamizi wa Mungu ni wa ajabu, kwa sababu watu wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu hauna uhusiano wowote na mwanadamu. Wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu ni kazi ya Mungu pekee, shughuli za Mungu, na hivyo wanadamu hawajali kuhusu usimamizi wa Mungu. Kwa njia hii, kuokolewa kwa wanadamu kumekuwa kusiko yakini na kusiko dhahiri, na kumebaki tu maneno matupu.

Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani"

Maonyesho ya Awali ya Video za Injili | Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | "Bwana Wangu Ni Nani"


     Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.” Moyoni mwake, Biblia ni kuu. Kwa sababu ya upendo na imani yake pofu katika Biblia, hajawahi kutafuta au kuitazama kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho.

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)




Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa Umeme wa Mashariki

I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.
Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.
Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.