Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ya-Mafarisayo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ya-Mafarisayo. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 24 Novemba 2017

8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo | Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo


Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi
Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia kujijua mwenyewe na kumjua Mungu, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimpenda, ilhali Paulo alizingatia tu kazi yake, sifa na hadhi yake, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimdharau.