Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo wimbo-wa-dini. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo wimbo-wa-dini. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 6 Agosti 2019

Wimbo Mpya wa Dini 2019 | "Upendo Safi Bila Dosari" (Lyrics Video)



Wimbo wa Dini 2019 | "Upendo Safi Bila Dosari" (Lyrics Video)



I Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki, hutazamii kupata kitu, cha malipo.