Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo watu-wa-kidini. Neno-la-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo watu-wa-kidini. Neno-la-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 20 Novemba 2017

Neno la Mungu | "Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini" | Can Your Faith Gain the Praise of God?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Neno la Mungu | "Kumwamini Mungu Lazima Kulenge Uhalisi, Si Tamaduni za Kidini" | Can Your Faith Gain the Praise of God?

Mwenyezi Mungu alisema, "Je, ni desturi ngapi za kidini unazozizingatia? Ni mara ngapi wewe umeasi dhidi ya neno la Mungu na kwenda kwa njia yako mwenyewe? Ni mara ngapi wewe umetia katika vitendo neno la Mungu kwa sababu wewe kwa kweli unajali mizigo Aliyobeba na unatafuta kutimiza mapenzi Yake? Lielewe neno la Mungu na uliweke katika vitendo.