Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo wachungaji. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo wachungaji. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 11 Novemba 2017

Je, Wewe ni Muumini wa Kweli wa Mungu? | Maneno ya Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Je, Wewe ni Muumini wa Kweli wa Mungu?

Je, Wewe ni Muumini wa Kweli wa Mungu?

 Mwenyezi Mungu alisema: ''Huenda ikawa safari yako ya imani katika Mungu imekuwa ndefu zaidi ya mwaka mmoja au miwili, na labda kwa maisha yako umestahimili ugumu mwingi miaka hii yote; au labda haujapitia ugumu na badala yake umepokea neema nyingi. Kuna uwezekano pia kuwa hujapitia ugumu wala kupokea neema, na badala yake umeishi maisha ya kawaida tu.