Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ushuhuda-wa-Mkristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ushuhuda-wa-Mkristo. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 6 Februari 2019

Ushuhuda wa Washindi | Jinsi Alivyoshinda Majaribu ya Kuwa na Mpenzi wa Siri (Sehemu ya 1)


Na Xiyue, Mkoa wa Henan
Jioni moja, Jingru alikuwa akinadhifisha kwake.
“Krr, krr.” Simu ilianza kulia. Aliijibu na sauti ngeni lakini bado inayojulikana ililia sikioni mwake: “Halo! Ni Wang Wei. Uko nyumbani!”
“Wang Wei?” Jingru kwa namna fulani alistaajabu: Kwa nini alikuwa akimpigia simu sasa baada ya miaka mingi sana?