Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo upinde-wa-mvua. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo upinde-wa-mvua. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 9 Novemba 2017

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I

Leo tunawasiliana kuhusu mada muhimu. Hii ni mada ambayo imezungumziwa tangu kuanza kwa kazi ya Mungu mpaka sasa, na inayo umuhimu mkuu kwa kila mtu. Kwa maneno mengine, hili ni suala ambalo kila mmoja atakutana nalo kwenye mchakato wote wa kusadiki kwake katika Mungu na suala ambalo lazima lizungumziwe. Ni suala muhimu, lisiloepukika ambalo mwanadamu hawezi kujitenganisha nalo. Tukizungumzia umuhimu, ni nini kitu muhimu zaidi kwa kila muumini katika Mungu?