Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo makanisa-ya-nyumbani. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo makanisa-ya-nyumbani. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 12 Aprili 2018

New Swahili Gospel Movie "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za Mwisho

New Swahili Gospel Movie "Mji Utaangushwa" | Hukumu katika Siku za Mwisho


Cheng Huize ni mfanyakazi mwenzi katika kanisa la nyumba huko China. Ameamini katika Bwana kwa miaka mingi, na amefanya kazi kwa ajili ya Bwana kwa shauku thabiti. Yeye hujitwisha majukumu mengi kwa ajili ya kanisa, na ana huruma kwa ndugu zake. Kanisa lake lilipokua na ukiwa zaidi na zaidi kila siku, uovu katika kanisa lake ulionekana mara kwa mara zaidi na zaidi. Mchungaji alipendekeza kwa juhudi kwamba kanisa lilipaswa kuanzisha kiwanda, na akawaongoza wafuasi kwenye njia ya utajiri, na pia kuwashawishi wao kujiunga na Kanisa la Nafsi Tatu ili kwamba wangeweza kutegemea msaada toka kwa serikali ya kikomunisti ya China. Hii ilisababisha mjadala mkali kujitokeza. Mchungaji alitenda kwa ukaidi kwa manufaa yake mwenyewe binafsi na hakusita kuligawa kanisa, akiwaongoza waumini kwenye njia isiyo sahihi.

Jumapili, 25 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mjadala Kati ya Njia Mbili za Maisha na Kifo

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mjadala Kati ya Njia Mbili za Maisha na Kifo

Chama cha Kikomunisti cha China kinakandamiza kwa hasira na kushambulia imani ya kidini. Wanawafunga jela na kuwatesa kikatili Wakristo bila kujizuilia. Wanawaruhusu watu tu kufuata Chama cha Kikomunisti. Hawawaruhusu watu kumwamini Mungu na kumfuata Mungu wanapotembea njia sahihi ya maisha. Matokeo ya mwisho ya Chama cha Kikomunisti cha China yatakuwa nini?

Jumamosi, 24 Februari 2018

Mbinu ya Chama cha Kikomunisti cha China ya Kuwashurutisha Wakristo kwa Kutishia Familia Zao

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mbinu ya Chama cha Kikomunisti cha China ya Kuwashurutisha Wakristo kwa Kutishia Familia Zao

Ili kuwashurutisha Wakristo kulighilibu kanisa, wamsaliti Mungu na kuharibu nafasi zao za kuokolewa na Mungu, Chama cha Kikomunisti cha China kwa ufidhuli kinawatishia wanafamilia wa Wakristo na kutumia hisia za familia za Wakristo kuwashurutisha kumsaliti Mungu. Je, njama za Chama cha Kikomunisti cha China zinaweza kuendelea? Katika mapambano haya kati ya mema na mabaya, Wakristo watawezaje kumtegemea Mungu ili kushinda majaribu ya Shetani na kusimama imara na kuwa na ushuhuda kwa Mungu?