Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kutoka-kwa-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kutoka-kwa-Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 25 Januari 2018

Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli

Sura ya 88. Kulipa Gharama ili Kupata Ukweli ni Muhimu Sana
Mwenyezi Mungu alisema, Sio rahisi kwa vijana kuendeleza kazi; wengi wao hawadumishi mwendo. Ni lazima moyo wako uwe mtulivu, lazima uweze kudumisha mwendo na uwe tayari kutumia muda kwake. Wengine hujiburudisha au kuwachezea wengine, lakini wewe unasema, "Siwezi, sina wakati. Biashara yangu ina shughuli sana. Nendeni mkajiburudishe.