Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kutakaswa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kutakaswa. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 25 Novemba 2017

Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu

Mwenyezi Mungu alisema, Alipokuwa akiadibiwa na Mungu, Petro aliomba, "Ee Mungu! Mwili wangu ni mkaidi, na unaniadibu na kunihukumu mimi. Nafurahi katika adabu Yako na hukumu, na hata kama Hunitaki mimi, katika hukumu Yako mimi ninaona tabia Yako takatifu na tabia Yako ya haki.