Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo bwana-harusi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo bwana-harusi. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 13 Juni 2018

Latest Swahili Gospel Film "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu?

Latest Swahili Gospel Film "Kubisha Hodi Mlangoni" | Je, Umesikia Sauti ya Mungu?

Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu alitabiri, "Na usiku wa manane pakawa na kelele, Tazama, bwana harusi anakuja; tokeni nje mwende kumlaki" (Mathayo 25:6). "Tazama, nasimama mlangoni, na kubisha: mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja na yeye, na yeye pamoja na mimi" (Ufunuo 3:20). Kwa miaka elfu mbili iliyopita, waumini katika Bwana wamekuwa makini na wakingoja Bwana abishe mlango, kwa hivyo, Atabishaje mlango wa binadamu Atakaporudi? Katika siku za mwisho, baadhi ya watu wameshuhudia kwamba Bwana Yesu amerudi -Mwenyezi Mungu mwenye mwili- na kwamba Anafanya kazi ya siku za mwisho ya hukumu. Habari hii imetikisa dunia yote ya kidini.