Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Uweza-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Uweza-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 23 Januari 2018

Sura ya 46. Ni Kwa Kuujua Uweza wa Mungu Pekee Ndipo Unaweza Kuwa na Imani ya Kweli

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki

Sura ya 46. Ni Kwa Kuujua Uweza wa Mungu Pekee Ndipo Unaweza Kuwa na Imani ya Kweli
Mwenyezi Mungu alisema, Wengi wa watu hawaelewi kazi ya Mungu na si rahisi kuelewa kipengele hiki. Kitu cha kwanza ambacho lazima ujue ni kwamba kunawakati ulioteuliwa wa kazi yote ya Mungu na bila shaka si kama ilivyodhaniwa na watu. Mwanadamu hawezi kamwe kuelewa kazi ambayo Mungu ataifanya ama wakati Ataifanya. Anafanya sasa kile kinachostahili kufanywa sasa na hiki ni kitu ambacho hakuna anayeweza kukiharibu;