Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Umuhimu-na-Sala. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Umuhimu-na-Sala. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 18 Novemba 2017

Sura ya 34. Umuhimu na Mazoezi ya Sala | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa, Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu,

Sura ya 34. Umuhimu na Mazoezi ya Sala | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu alisema,Je, mnaomba vipi kwa sasa? Ni maendeleo kwa sala za kidini jinsi gani? Mnaelewa nini hasa kuhusu umuhimu wa sala? Je mmechunguza maswali haya? Kila mtu ambaye hafanyi sala ako mbali na Mungu, kila mtu ambaye hasali anafuata mapenziyake; Kukosekana kwa sala kunaashiria kwenda mbali na Mungu na usaliti wa Mungu. Ni nini uzoefu wenu hasa na sala? Sasa hivi, kazi ya Mungu tayari inakaribia mwisho na uhusiano kati ya Mungu na mwanadamu unaweza kuonekana kutoka kwa maombi ya mwanadamu.