Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ufahamu-wa-Kuokolewa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ufahamu-wa-Kuokolewa. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 24 Novemba 2017

23. Ufahamu wa Kuokolewa | Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

23. Ufahamu wa Kuokolewa | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong
Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha furaha ya familia yangu na mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisani. Kwa hiyo niliamini: Mradi tu nisiache kazi katika kanisa ambayo nimeaminiwa, nisimsaliti Mungu, nisiache kanisa, na kumfuata Mungu hadi mwisho, nitahurumiwa na kuokolewa na Mungu. Niliamini pia kuwa nilikuwa nikitembea katika njia ya wokovu na Mungu, na yote niliyokuwa niyafanye ni kumfuata Yeye mpaka mwisho.