Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Uenyezi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Uenyezi. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 6 Aprili 2018

Sura ya 31. Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji wa Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa MasharikiSura ya 31. Jinsi ya Kufahamu Uenyezi na Utendaji wa Mungu

Mwenyezi Mungu alisema, Kitu hiki kinachoitwa mwanadamu kina uwezo wa kumsaliti Mungu, kwa hivyo unaweza kujua nini kutoka kwa hili? Baadhi ya watu huuliza: "Mungu alimuumba mwanadamu kwa hivyo Mungu hawezi kumzuia mwanadamu kumsaliti Yeye? Ni kwa nini mwanadamu bado ana uwezo wa kumsaliti Mungu? Je, Mungu si mwenyezi?" Hili ni tatizo, sio? Ni tatizo gani unaloweza kuona hapa katika suala hili? Mungu ana upande wa vitendo, lakini pia Ana upande wa uenyezi.