Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tendeni-Ukweli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Tendeni-Ukweli. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 13 Februari 2018

Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa

Tendeni Ukweli Mara Mnapouelewa
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi na neno la Mungu vina maana ya kuleta mabadiliko katika tabia zenu; lengo Lake si kuwafanya tu kulielewa au kulitambua na kufanya hilo kuwa mwisho wa jambo hilo. Kama mmoja wa uwezo wa kupokea, hampaswi kuwa na ugumu katika kuelewa neno la Mungu, kwa kuwa wingi wa neno la Mungu limeandikwa kwa lugha ya kibinadamu ambayo ni rahisi sana tu kuelewa.