Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Siku-za-Nuhu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Siku-za-Nuhu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 11 Januari 2018

Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video

Safina ya Siku za Mwisho | “Siku za Nuhu Zimekuja” Swahili Gospel Video | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hebu tumwangalie mwanadamu wakati wa enzi ya Nuhu. Mtu alishiriki katika kila aina ya utendaji wa maovu akikosa kufikiria toba. Hakuna aliyesikiliza neno la Mungu. Ugumu na uovu wao uliamsha hasira ya Mungu na mwishoni, walimezwa na maafa ya mafuriko makuu. Nuhu na familia yake ya watu nane pekee ndio walisikiliza neno la Mungu na walikuwa na uwezo wa kuishi. Sasa, siku za mwisho zimeshafika.