Swahili Gospel Song "Sala ya Watu wa Mungu" | Kuishi katika Upendo wa Mungu
Watu wa Mungu wanainuliwa mbele ya kiti Chake cha Enzi, maombi mengi mioyoni mwao. Mungu huwabariki wote wanaorejea Kwake; wote wanaishi katika mwanga. Omba Roho Mtakatifu alipe nuru neno la Mungu ili kwamba tujue kikamilifu mapenzi ya Mungu.