Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwaminifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwaminifu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 27 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Hymn of Christian Experience (Swahili) "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Hymn of Christian Experience (Swahili) "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote,
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.
Ninauunga mkono wajibu wangu
kwa moyo wangu wote na mawazo, na siujali moyo.
Ingawa ubora wa tabia yangu ni wa chini,
nina moyo wa uaminifu.

Jumatano, 22 Novemba 2017

Wewe U Mwaminifu kwa Nani? | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Kanisa,

Wewe U Mwaminifu kwa Nani? | Kanisa la Mwenyezi Mungu
Mwenyezi Mungu alisema,Kila siku unayoiishi sasa ni ya maana sana na muhimu sana kwa hatima yako na majaliwa yako, kwa hivyo unapaswa kufurahia kila ulicho nacho na kila dakika inayopita. Unapaswa kutumia muda wako vizuri ili uweze kujinufaisha, ili usije kuishi maisha haya bure. Pengine unajihisi kukanganyikiwa unaojiuliza ni kwa nini Ninazungumza maneno haya. Kwa kweli, Sijapendezwa na matendo ya yeyote kati yenu. Kwa maana matumaini ambayo Nimekuwa nayo juu yako si vile tu ulivyo sasa.