Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu akipenda. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu akipenda. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 13 Februari 2019

Neno la Mungu | Sura ya 35

Neno la Mungu | Sura ya 35

Mwenyezi Mungu anasema, "Nimeanza kutenda kazi Yangu kati ya wanadamu, kuwakubalia kuishi mkondo mmoja Nami. Nitakamilisha kazi Yangu nikiwa kati yao, maana wao ni vyombo Ninavyosimamia katika mpango Wangu wote wa usimamizi—na ni mapenzi Langu ili waweze kuwa watawala wa vitu vyote. Hivyo basi Naendelea kutembea kati ya wanadamu.