Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mtakatifu-Baba. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mtakatifu-Baba. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 10 Novemba 2017

Je, Utatu Mtakatifu Upo? | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Je, Utatu Mtakatifu Upo?

Je, Utatu Mtakatifu Upo? | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Mwenyezi Mungu alisema: Ni baada tu ya ukweli wa Yesu kuwa mwili kutokea ndipo mwanadamu alipogundua hili: Si Baba pekee aliye mbinguni, bali pia Mwana, na hata Roho Mtakatifu. Hii ndiyo dhana ya kawaida aliyonayo mwanadamu, kwamba kuna Mungu wa aina hii mbinguni: Utatu ambao ni Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu, wote katika nafsi moja. Wanadamu wote wana fikra hizi: Mungu ni Mungu mmoja, ila Anajumuisha sehemu tatu, kile ambacho wale wote waliofungwa kwa huzuni katika hizi dhana za kawaida wanachukulia kuwa kuna Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.