Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mashariki. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mashariki. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 19 Novemba 2017

Ngurumo Saba Zatoa Sauti - Zikitabiri Kuwa Injili Ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Ngurumo Saba Zatoa Sauti - Zikitabiri Kuwa Injili Ya Ufalme Itaenea Kote Ulimwenguni
Mimi Naeneza kazi Yangu katika nchi za Mataifa. Utukufu Wangu unamulika kotekote ulimwenguni; mapenzi Yangu yamo katika mtawanyiko wa wanadamu, wote wakiongozwa kwa mkono Wangu na kufanya kazi ambayo Nimewapa. Kuanzia wakati huu kuendelea, Nimeingia katika enzi mpya, kuwaleta watu wote katika ulimwengu mwingine. Niliporudi katika “nchi Yangu,” Nilianza sehemu nyingine tena ya kazi katika mpango Wangu wa asili, ili mwanadamu aje kunijua zaidi.