Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maisha-ya-Kiroho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maisha-ya-Kiroho. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 5 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maisha Ya Kawaida ya Kiroho Huwaongoza Watu Kwenye Njia Sahihi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa MasharikiMaisha Ya Kawaida ya Kiroho Huwaongoza Watu Kwenye Njia Sahihi
Mwenyezi Mungu alisema, Mmetembea tu sehemu ndogo sana ya njia ya muumini katika Mungu, na bado hamjaingia kwenye njia sahihi, kwa hiyo bado mko mbali na kutimiza kiwango cha Mungu. Hivi sasa, kimo chenu hakitoshi kuyakidhi mahitaji Yake. Kwa sababu ya ubora wenu wa tabia na vilevile asili yenu ya maumbile ya upotovu, nyinyi daima huichukulia kazi ya Mungu kwa uzembe na hamuichukulii kwa uzito.