Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuondoa-Ukungu-ili-kuona-Mwanga-wa-Kweli. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuondoa-Ukungu-ili-kuona-Mwanga-wa-Kweli. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 11 Machi 2018

Ni kwa Nini Ulimwengu wa Kidini Wenye Wayowayo kwa Hasira Unaipinga na Kuishutumu Kazi Mpya ya Mungu Daima?

Ni kwa Nini Ulimwengu wa Kidini Wenye Wayowayo kwa Hasira Unaipinga na Kuishutumu Kazi Mpya ya Mungu Daima?

Mara mbili ambapo Mungu amepata mwili kutembea duniani na kufanya kazi ya kumwokoa mwanadamu Amekumbana na upinzani mkubwa, shutuma na mateso ya hasira kutoka kwa viongozi katika dunia ya kidini, ukweli ambao umewakanganya na hata kuwashtua watu: Ni kwa nini kila wakati Mungu anapoonyesha hatua ya kazi mpya Yeye daima hukumbana na aina hii ya utendewaji?

Jumamosi, 10 Machi 2018

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki

Kila wakati Umeme wa Mashariki linapotajwa, ndugu wengi katika Bwana huhisi mafadhaiko: Ni kwa nini jumuiya ya kidini kwa ujumla huzidi kuhuzunika na kupotoka, wakati kila dhehebu linazidi kuwa na hadhari na kushikilia ukale katika kushutumu na kufukuza Umeme wa Mashariki, Umeme wa Mashariki halihuzuniki tu na kudhoofika, lakini linaendelea mbele kama mawimbi yasiyoweza kusimamishwa, likienea kote China Bara? Sasa kuwa hata limepanuka hata nje ya mipaka ya China hadi nchi za kigeni na maeneo,

Ijumaa, 16 Februari 2018

Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?

Kwa nini Umeme wa Mashariki Hutapakaa Kwenda Mbele na Maendeleo Yasiyozuilika?
Kristo wa siku za mwisho amekuwa akifanya kazi Yake nchini China kwa zaidi ya miaka 20, kazi ambayo imetetemesha makundi mbalimbali ya kidini kwa kina. Swali la kufadhaisha zaidi kwa jumuiya za kidini wakati huu limekuwa: Wachungaji wengi na wazee wa kanisa katika jumuiya ya kidini wamefanya liwezekanalo kuuhukumu na kuushambulia Umeme wa Mashariki kupitia njia mbalimbali kama vile kueneza uvumi kuhusu na kuukashifu Umeme wa Mashariki.