Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kikomunisti-ya-Kichina. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kikomunisti-ya-Kichina. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 26 Februari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kufunua Ukweli wa Sera ya CCP juu ya Dini Iliyofunikwa na Katiba Yake

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kufunua Ukweli wa Sera ya CCP juu ya Dini Iliyofunikwa na Katiba Yake

Katiba ya serikali ya Kikomunisti ya Kichina hutamka dhahiri juu ya uhuru wa dini na ibada, lakini kwa siri kuna ukandamizaji wa jeuri na mashambulizi kwa dini na ibada. Wafuasi wa Kristo wanasingiziwa kuwa wahalifu wakubwa wa kitaifa na mbinu za mapinduzi zinachukuliwa ili kuwakandamiza, kuwazuilia, kuwatesa na hata kuwaua kwa ukatili. Serikali ya kikomunisti ya Kichina hutumia Katiba ili kupata umaarufu kwa kuudanganya umma lakini ni siri gani hata hivyo ambazo huathiri mambo na ambazo kufichiwa umma?