Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 11 Aprili 2018

Maneno ya Mungu | Kazi na Kuingia (3)

Mwenyezi Mungu alisema:“ Mungu amewaaminia wanadamu vitu vingi sana na Amezungumza bila kikomo juu ya kuingia kwao. Lakini kwa sababu ubora wa tabia ya watu ni duni mno, maneno mengi ya Mungu yameshindwa kuanza kustawi. Kuna sababu mbalimbali za huu ubora duni wa tabia, kama vile uharibifu wa mawazo na maadili ya binadamu, na kutokuwa na malezi mazuri; imani za usihiri zilizojaa moyoni mwa mwanadamu; mitindo ya maisha iliyopotoka ambayo imeweka maovu mengi katika sehemu ya ndani kabisa ya moyo wa mwanadamu;