Jumapili, 1 Aprili 2018

Umeme wa Mashariki | "Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa?"

Mungu asema: "katika vitu vyote na katika mbingu kuna Mmoja kutoka milele hadi milele ambaye ni Mkuu wa kila kitu."

"Kwa nini tunaishi?  Na kwa nini inatulazimu kufa?"

πŸ‘±‍♂πŸ€΅πŸ§”πŸ‘³‍♀πŸ‘°πŸ‘±‍♀πŸ§•πŸ€΅πŸ½‍♀️πŸ‘³πŸΏ‍♂️πŸ‘΄πŸ½πŸ‘¦πŸΌπŸ‘©πŸ»πŸ‘§πŸ€΅πŸ½‍♀️πŸ‘³πŸΏ‍♂️πŸ‘΄πŸ½
Mungu asema: "Wanaokufa huenda na hadithi za walio hai, na walio hai hurudia historia hii yenye huzuni ya wale waliokufa. Na kwa hivyo wanadamu hawawezi kujizuia ila kujiuliza wenyewe; Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii? Na ni nani muumbaji wa mwanadamu? Je, kweli wanadamu waliumbwa na mazingira asilia? Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?"Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, wokovu
Umeme wa MasharikiKanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni