Jumamosi, 31 Machi 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mtu Atarudi Kule Alikotoka

Mungu asema: "katika vitu vyote na katika mbingu kuna Mmoja kutoka milele hadi milele ambaye ni Mkuu wa kila kitu."


Mtu Atarudi Kule Alikotoka
~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~ ~

Kwa enzi zote, watu wote wamefuata sheria sawa za kuweko; kutoka kwa maneno yao ya kwanza hadi wakati nywele zao zinapogeuka kijivu, wao hutumia maisha yao yote wakikurupuka huku na kule, hadi hatimaye wanageuka mavumbi …

Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa?"

Mungu asema: "katika vitu vyote na katika mbingu kuna Mmoja kutoka milele hadi milele ambaye ni Mkuu wa kila kitu."

"Kwa nini tunaishi?  Na kwa nini inatulazimu kufa?"

Mungu asema: "Wanaokufa huenda na hadithi za walio hai, na walio hai hurudia historia hii yenye huzuni ya wale waliokufa. Na kwa hivyo wanadamu hawawezi kujizuia ila kujiuliza wenyewe; Kwa nini tunaishi? Na kwa nini inatulazimu kufa? Nani anayeitawala dunia hii? Na ni nani muumbaji wa mwanadamu? Je, kweli wanadamu waliumbwa na mazingira asilia? Je, kweli wanadamu wana uamuzi juu ya hatima yao?"

Ijumaa, 30 Machi 2018

Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | wokovu wa Bwana

Zhen Cheng alikuwa mmiliki wa duka la urekebishaji wa vifaa vya stima. Alikuwa mkarimu, mwaminifu, na alifanya biashara inavyopasa kufanywa. Hangejaribu kumdanganya mtu, lakini alikuwa anachuma tu pesa za kutosha angalau kuimudu tu famillia yake. Baada ya muda, mmoja wa jamaa yake na mfanya biashara mwenza alimhimiza atende kulingana na sheria zisizoandikwa za biashara, na Zhen Cheng alianza kuamini katika misemo inayowakilisha falsafa ya kama vile: "Mwanaume bila kipato cha pili hawezi kamwe kuwa tajiri kama tu jinsi farasi aliyenyimwa nyasi kavu usiku hawezi kamwe kuongeza uzani,” “Wajasiri hufa kwa ajili ya tamaa; waoga hufa kwa njaa," "Pesa si kila kitu, lakini bila pesa, huwezi kufanya chochote," na "Pesa kwanza."

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa