Jumatatu, 6 Agosti 2018

Kupitia kwa Majonzi Makuu, Nimevuna Faida Kubwa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, upendo wa Mungu, Umeme wa Mashariki

Kupitia kwa Majonzi Makuu, Nimevuna Faida Kubwa

Rongguang   Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan
Baada ya kumfuata Mwenyezi Mungu, niliwekwa katika jela kwa sababu mimi niliamini katika Mungu. Wakati huo nilikuwa muumini mpya na Mungu alikuwa amenipa nguvu ili niweze shikilia msimamo katika ushahidi wangu. Hata hivyo, niliamini kimakosa kuwa nilikuwa na kimo; nilidhani kwamba nilikuwa na kiasi kikubwa cha imani, upendo na uaminifu kwa Mungu, kwa hiyo sikuzingatia hasa kula na kunywa maneno ya Mungu ya hukumu na kuadibu.

Jumapili, 5 Agosti 2018

Tamko la Arubaini na Sita

Tamko la Arubaini na Sita

Mwenyezi Mungu alisema, Sijui jinsi watu wanavyoendelea katika kuyafanya maneno Yangu kuwa msingi wa kuweko kwao. Nimehisi wasiwasi kila mara kwa ajili ya majaliwa ya mwanadamu, lakini watu hawaonekani kuwa na fahamu yoyote kuhusu hili—na kutokana na hilo, hawajawahi kuyatilia maanani mambo Yangu, na hawajawahi kukuza kuabudu kokote kwa ajili ya mtazamo Wangu kuhusiana na mwanadamu.

Jumamosi, 4 Agosti 2018

Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"

Filamu za Kikristo "Ni Nani Anayemsulubisha Mungu Tena"

Go Shoucheng ni mchungaji katika kanisa la nyumbani huko China. Amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na amekuwa akishughulikia kwa mahubiri yake kwa uthabiti, na amekuwa kila mahali akihuburu injili. Amekamatwa na kutiwa jelani kwa sababu ya kuhubiri injili, na kukaa miaka kumi na miwili gerezani. Baada ya kuondoka gerezani, Gu Shoucheng aliendelea kufanya kazi kanisani.

Ijumaa, 3 Agosti 2018

Video ya Injili 2018 | "Kutoka Kinywani mwa Mauti" | Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

Video ya Injili 2018 | "Kutoka Kinywani mwa Mauti" | Mungu Amenipa Fursa ya Pili Katika Maisha

    Liu Zhen, mwenye umri wa miaka 78, ni mke wa nyumbani wa kawaida wa mashambani. Baada ya kumwamini Mungu, alihisi furaha isiyo na kisawe na kusoma maneno Yake na kuimba nyimbo za kumsifu siku zote, na mara nyingi kukusanyika pamoja na ndugu zake kushirikiana juu ya ukweli. ... Hata hivyo, mambo mazuri hayadumu. Anakamatwa na kuteswa na serikali ya Kikomunisti ya China, ikimtia katika shida mbaya sana. Polisi wanampeleka kwenye kituo cha polisi kwa ajili ya kuhojiwa mara tatu, na kumwonya asimwamini Mungu tena.

Alhamisi, 2 Agosti 2018

Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu!

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Roho Mtakatifu, Umeme wa Mashariki

Ni Muhimu Sana Kutii Kazi ya Roho Mtakatifu!

Xiaowei    Mji wa Shanghai
Wakati fulani kitambo, hata kama daima nilipata msukumo kiasi na fadhila wakati dada mmoja aliyeshiriki nami alishiriki nuru aliyokuwa amepata wakati alipokula na kunywa neno la Mungu, pia kila wakati nilikuwa na hisia ya muda mrefu kuwa alikuwa anajionyesha. Ningejiuliza, “Nikimjibu sasa hivi, sitakuwa nikimtia moyo?

Jumatano, 1 Agosti 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"


Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"

I
Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia,
unaanza kutenda wajibu wako.
Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako,
na unaanza safari ya maisha.
Vyovyote vilivyo msingi wako ama safari iliyo mbele yako,