Ijumaa, 22 Juni 2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (3) - Kufichua Fumbo la Kupata Mwili

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (3) - Kufichua Fumbo la Kupata Mwili


Ingawa watu wanaomwamini Bwana wote wanajua kwamba Bwana Yesu ni Mungu aliyepata mwili, hata hivyo hakuna kweli anayeweza kuelewa ukweli wa kupata mwili. Imetabiriwa katika Biblia kwamba Bwana atakuja tena katika mwili kuzungumza na kufanya kazi katika siku za mwisho. Kama hatumjui Mungu mwenye mwili, basi hatuna namna ya kukaribisha kuja kwa mara ya pili kwa Bwana.

Na jinsi ya kuepuka maovu❓



Umeme wa MasharikiKanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Alhamisi, 21 Juni 2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini


Umeme wa Mashariki—kuonekana na kazi ya Mungu katika siku za mwisho limetikisa makundi na madhehebu yote, na kila aina ya wanadamu wamefichuliwa. Kondoo wengi wazuri katika kanisa wangependelea kuteseka kukamatwa kusikodhibitiwa na kuteswa na Chama cha Kikomunisti cha China ili tu kutafuta na kuchunguza Umeme wa Mashariki.

Jumatano, 20 Juni 2018

Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari"

Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari"


Zhong Xin ni mhubiri kutoka katika kanisa moja la nyumbani katika bara China. Amekuwa muumini katika Mungu kwa miaka mingi na kila mara amepitia kukamatwa na mateso ya CCP. Chuki yake ya CCP ni ya kina sana, na ameona wazi kwa muda mrefu sasa kwamba CCP ni utawala wa kishetani ambao unajiweka katika upinzani na Mungu.

Jumanne, 19 Juni 2018

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu


Baada ya Liang Zhi kumwamini Mungu, bila kukoma alitafuta kwa shauku, na kujitosa katika kutimiza wajibu wake. Baada ya miaka kadhaa, alichaguliwa kama kiongozi wa kanisa. Wakati alipokuwa akitekeleza wajibu wake kama kiongozi wa kanisa, aligundua kwamba baadhi ya ndugu walikuwa na uwezo zaidi kumliko, ambayo ilimfanya asiwe na furaha kwa kiasi kwamba alikuwa na wivu kwao.

Jumatatu, 18 Juni 2018

11. Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo wa Mungu

11. Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa

Muling , Beijing
Agosti 16, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, Beijing ilipata mvua kubwa zaidi katika miaka sitini. Katika mvua hiyo kubwa niliona matendo ya Mungu na kuona jinsi Yeye huwaokoa mwanadamuSiku hiyo adhuhuri, dada zangu watatu na mimi tulikuwa tumekutana. Nje mvua ilikuwaikiendelea kunyesha. Saa kumi u nusu jioni mume wangu, ambaye hakuwa muumini, alirudi akitwambia kwamba kulikuwa na maji mengi kwa mzunguko kiasi kwamba watu hawakuweza kupitia.