Jumatano, 20 Juni 2018

Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari"

Swahili Gospel Film "Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari"


Zhong Xin ni mhubiri kutoka katika kanisa moja la nyumbani katika bara China. Amekuwa muumini katika Mungu kwa miaka mingi na kila mara amepitia kukamatwa na mateso ya CCP. Chuki yake ya CCP ni ya kina sana, na ameona wazi kwa muda mrefu sasa kwamba CCP ni utawala wa kishetani ambao unajiweka katika upinzani na Mungu.

Jumanne, 19 Juni 2018

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu


Baada ya Liang Zhi kumwamini Mungu, bila kukoma alitafuta kwa shauku, na kujitosa katika kutimiza wajibu wake. Baada ya miaka kadhaa, alichaguliwa kama kiongozi wa kanisa. Wakati alipokuwa akitekeleza wajibu wake kama kiongozi wa kanisa, aligundua kwamba baadhi ya ndugu walikuwa na uwezo zaidi kumliko, ambayo ilimfanya asiwe na furaha kwa kiasi kwamba alikuwa na wivu kwao.

Jumatatu, 18 Juni 2018

11. Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, upendo wa Mungu

11. Kupitia Utunzaji wa Uangalifu wa Mungu wa Wokovu wa Mwanadamu katika Maafa

Muling , Beijing
Agosti 16, Mwaka wa 2012
Mnamo Julai 21, mwaka wa 2012, Beijing ilipata mvua kubwa zaidi katika miaka sitini. Katika mvua hiyo kubwa niliona matendo ya Mungu na kuona jinsi Yeye huwaokoa mwanadamuSiku hiyo adhuhuri, dada zangu watatu na mimi tulikuwa tumekutana. Nje mvua ilikuwaikiendelea kunyesha. Saa kumi u nusu jioni mume wangu, ambaye hakuwa muumini, alirudi akitwambia kwamba kulikuwa na maji mengi kwa mzunguko kiasi kwamba watu hawakuweza kupitia.

"Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)

"Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)


Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana. Mtu anawezaje kuitambua sauti ya Bwana, hata hivyo? Kuna tofauti gani kati ya sauti ya Mungu na sauti ya wanadamu?

Jumapili, 17 Juni 2018

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuibuka na Kuanguka kwa Mataifa

Trela ya Filamu "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Kuibuka na Kuanguka kwa Mataifa


    Is the rise and fall of a country or nation the result of human actions? Is it a natural law? What kind of mystery is contained within? Exactly who commands the rise and fall of a country or nation? The Christian musical documentary The One Who Holds Sovereignty Over Everything will soon reveal the mystery!

62. Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

62. Sababu ya Kweli ya Kazi Isiyofaa

Xinyi Mji wa Xi’an, Mkoa wa Shaanxi
Katika ziara zangu za karibuni kwa makanisa, mara nyingi niliwasikia viongozi na wafanyakazi wakisema kwamba watu wengine, baada ya kuhudhuria ushirika na mimi, waligeuka hasi, wanyonge na walikosa motisha ya kuendelea kutafuta. Wengine walisema ilikuwa vigumu sana kumwamini Mungu na walimwelewa Mungu visivyo.